Sauti ya Thamani
Kuinua hadhi, heshima, na thamani ya dada wa kazi. Jukwaa la kuunganisha waajiri, wafanyakazi, na mawakala kwa usalama na ufanisi.
Tafuta Mfanyakazi
Ona profaili zilizohakikiwa za wafanyakazi wa majumbani.
Usalama & Haki
Mikataba rasmi, bima ya afya, na ulinzi wa stahiki.
Wakala wa Mkoa
Jisajili kama wakala wetu mkoani kusaidia jamii.
Wafanyakazi Waliopendekezwa
Wafanyakazi walio tayari kuajiriwa sasa
Je, unataka kuwa sehemu ya mabadiliko?
Jiunge nasi kama Wakala wa Mkoa kusaidia kusajili na kusimamia wafanyakazi, au changia kufanikisha malengo yetu.
Kuhusu Thamani Trust Foundation
Profile ya Taasisi
Utangulizi
Thamani Trust Foundation ni taasisi inayojitolea kuinua hadhi na kuthamini mchango wa dada wa kazi (wafanyakazi wa majumbani) nchini Tanzania. Taasisi hii imeanzishwa kutokana na uhalisia wa maisha ya dada wa kazi, ambao mara nyingi hufanya kazi kwa bidii bila heshima, stahiki, au ulinzi wa kisheria, licha ya mchango wao mkubwa katika maisha ya familia na jamii.
Thamani Foundation si tu mradi wa kijamii; ni harakati ya kuokoa utu, kuthamini mchango wa dada wa kazi, na kubadilisha mtazamo wa jamii kuhusu kazi za ndani kuwa nguzo ya heshima na maendeleo ya familia na taifa.
Historia na Changamoto
Uhalisia wa maisha ya dada wa kazi na changamoto zao.
Dhamira (Mission)
Kusudio letu kuu la kuinua hadhi ya wafanyakazi.
Maono (Vision)
Picha ya jamii tunayotamani kuijenga.
Malengo Yetu
Mkakati na malengo mahususi ya mradi.
Makundi Lengwa
Dada wa kazi, Waajiri, na Wadau wengine.
Programu Zetu Kuu
Mafunzo, Utambulisho, Ulinzi na Uhamasishaji.
Wakala wa Thamani Trust
Tunatafuta mawakala katika kila mkoa watakaosaidia kusajili dada wa kazi na kusimamia ustawi wao.
Fomu ya Usajili wa Wakala
Matukio na Programu Zinazoendelea
Soma maelezo ya kila tukio kabla ya kuchukua hatua ya kushiriki au kuchangia.
Kampeni ya "Sauti Yangu"
Kampeni maalum ya kutembelea mikoa 5 kutoa elimu ya haki na kusajili dada wa kazi 10,000.
Semina ya Malezi Bora
Mafunzo ya siku 3 kwa dada wa kazi Dodoma Mjini kuhusu lishe, usafi na malezi ya watoto.
Jisajili kama Dada wa Kazi
Jaza taarifa zako hapa. Taarifa zako hazitaonekana kwenye tovuti hadi uhakikiwe na Admin.
Fomu ya Mwajiri (Tuma Ombi la Kazi)
Changia Thamani Trust
Chagua programu unayotaka kuichangia. Michango yote inasimamiwa kwa uwazi.
Lipamba Namba
1234567 (THAMANI TRUST)
Benki (CRDB)
015000000000
Fomu ya Ahadi / Mchango
Orodha ya Wafanyakazi
Jinsi Mfumo Unavyofanya Kazi
Kwa Waajiri
- Jisajili na uweke maelezo ya familia.
- Tuma ombi la kazi au chagua mfanyakazi.
- Lipia ada ya huduma na saini mkataba.
Kwa House Girls
- Jisajili kwa Wakala au ofisini.
- Pata mafunzo ya awali na cheti.
- Unganishwa na mwajiri anayejali.
Kwa Mawakala
- Tuma maombi ya uwakala wa mkoa/wilaya.
- Sajili wasichana na simamia data zao.
- Pata kamisheni kwa kila ajira iliyofanikiwa.
Wadau na Washirika Wetu
Tunashirikiana na serikali, taasisi za fedha, na mashirika ya kijamii kufanikisha malengo yetu. Mradi huu unadhaminiwa kwa kiasi kikubwa na wafadhili wafuatao.
Wadau wa Kimkakati & Serikali
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
Aina: Taasisi ya Umma
Tunashirikiana kuhakikisha dada wa kazi wanapata fidia wanapoumia kazini.
Bima ya Afya
Aina: Bima & Afya
Kuhakikisha kila mwanachama anapata huduma bora za matibabu.
Usalama Mahali pa Kazi
Aina: Wakala wa Serikali
Ukaguzi wa mazingira salama kwa wafanyakazi wa majumbani.
Taasisi za Fedha
Benki (CRDB / NMB)
Kutoa akaunti rafiki na elimu ya fedha kwa wanachama wetu.
Mitandao ya Simu (M-Pesa/Tigo)
Kuwezesha malipo ya mishahara kidijitali na michango.
Orodha ya Wafadhili na Waliochangia
| Jina la Mfadhili / Taasisi | Aina ya Ufadhili | Tarehe |
|---|---|---|
| Ubalozi wa X (Mfano) | Mfadhili Mkuu (Vifaa vya Ofisi) | Oktoba 2023 |
| Kampuni ya Juma Transporters | Udhamini wa Usafiri | Septemba 2023 |
| John Doe (Binafsi) | Mchango wa Fedha | Jana |
| Kikundi cha Mama Lishe Dodoma | Chakula kwa Semina | Juzi |